Baadhi ya wanariadha wakubwa wa Tanzania wasusia mashindano ya karatu festivals yanayoandaliwa na kamati ya olimipiki Tanzania (TOC) ikiwa ni baada ya makamu wa rais wa TOC Henry Tandau kumkata jina kwenye uchaguzi wa kamisheni ya wachezaji na kumuita muasi/msaliti kwa kuhamasisha wenzake kuvaa...
Kutoka kushoto ni Suleiman Nyambui, Luis Posso(Posso International Promotions) , Mao Hando , Zakarie Barie , Yuich Isaka (Asics) na Mwanariadha Gabriel Gerald Geay.
Kampuni ya Posso International Promotions yenye Makao Makuu yake nchini Marekani imetangaza neema kwa wanariadha wa Kitanzania...
Waziri Ndumbaro kwa nini huwapumzishi hawa wazee Filbert Bayi, Ghulam na Henry Tandau? wanaotafuna pesa za watanzania? Bayi anakula pesa za wanariadha , makocha na hata wanahabari ambao walitakiwa wapate scholarships mbalimbali, sasa toka afiki paris ufaransa ambapo alipelekwa na bayi yuko kimya...
Wakati sherehe za kufunga michezo ya Olimpiki zikifanyika mjini Paris, wanariadha watatu wa DR Congo wametoweka tangu Jumapili hii, siku ya mwisho ya michezo ya 33 ya Olimpiki.
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ilishiriki katika matukio manne (Judo, kuogelea, riadha na ndondi) nchi hiyo...
LEO, saa 3:30 asubuhi sehemu ya wanariadha watakaokimbia katika Olympics wamo Watanzania pia Alphonce Felix Simbu na Gabriel Gerald Geay
Mashindano haya Olympic yanaruka mbashara kupitia #ZBC2
#Olympic #Olympicgame #Paris
Mashindano ya Olimpiki yanaendelea huko Paris huku watalii wetu wakiwa hawajui kilichowapeleka huko kwenye mashindano hayo.
Kikosi cha Tanzania ni kikosi duni kuliko vyote kwani ni vigumu kumtambua nani kiongozi na nani mchezaji, wote wanafanana.
Serikali iwatoe aibu kwa kuwachongea medali...
Wadau hamjamboni nyote?
Tuwaombee ndugu zetu wa taifa teule la Mungu dhidi ya mkono wa ibilisi anayekusudia kuwaangamiza.
Tunaamini taifa teule la Mungu litaendelea kudumu likiwa na baraka tele za agano la milele
Taarifa kamili hapo chini:
Israel warns France of plot by ‘Iranian terrorist...
BAADA ukimya wa muda mrefu kuhusu lini timu ya Taifa ya Riadha itaingia kambini kuanza maandalizi ya mashindano ya Olimpiki ambazo zitafanyika mwezi Julai huko Paris Ufaransa hatimae Shirikisho la Riadha Tanzania (RT),imefunguka kuwa kambi hiyo itaanza mapema wiki hii.
Tanzania itawakilishwa na...
Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania, Silas Lucas Isangi akikabidhi vifaa vya Michezo kwa nahodha wa timu Dectaforce Boniface na Msaidizi wake Hamida Nassoro Mussa Kwa niaba ya Wanariadha 9 na Kocha mmoja wanaokwenda kwenye Mbio za Dunia za Nyika Huko Belgrade, Nchini Serbia.
Rais amekabidhi...
Timu ya Taifa ya Riadha wameondoka leo na kuagwa na Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania Silas Lucas Isangi na Kaimu katibu mkuu wa RT Wakili Jackson Ndaweka katika uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro.
Wanariadha hao 8 wakiwemo wa Mbio za Uwanjani, Mbio ndefu na Mrusha mkuki, wameondoka kwenda...