Kwa ma senior wa science wa hapa Jf.
Mimi ni mfuga kuku mzuri tu na nimzoefu lakini sijawahi kuona kuku anakojoa!!
Nasemea kuku kwa sababu ndo ndege nilioanza kuwafuga tangu utotoni mwangu.
Pamoja na kwamba kuku ni kiumbe anayekunywa maji pia lakini sijawahi kuona mkojo wake.
Sungura kwa...
Mfumo mpya wa kinga ya mwili umegunduliwa. Upo katika sehemu ya mwili inayojulikana kwa kusaga protini. Mfumo huo una muundo wa siri unaoweza kutapika kemikali zinazoua bakteria.
Watafiti kutoka Israel wanasema ugunduzi huu utabadilisha uelewa wetu wa jinsi mwili unavyolindwa dhidi ya...
Utangulizi
Katika ulimwengu wa leo, ambapo maendeleo ya kiteknolojia yanapiga hatua kwa kasi isiyowahi kushuhudiwa, ni wazi kuwa sayansi inaendelea kusukuma mipaka ya yale tuliyoyazoea. Swali la msingi ni: Je, tunaelekea wapi katika mustakabali wa teknolojia ya kompyuta?
Katika jaribio la hivi...
Kuna mda natamani kuachana na nilienae maana Kuna huu msemo watoto hurithi akili Kwa wazazi wao,Sasa nikicheki mimi nimeishia kidato Cha nne nilijaribu kumuuliza mwanaume wangu back ground yako ya shule anasema alikua anashika nafasi Sio nzuri ajawahi kuwa bright darasani au nimuache jamani,mana...
Wadau habari ya Jioni,
kwani ugali una shida gani, mimi
nilijua ni hapa tu jamiiforum kumbe hata majumbani kwa watu.
Mimi ni mzanaki wa pale Kyabakari mbona kule kwetu tunakula ule ugali wa mtama na tupo fresh tu.
Tena ukila ugali wa mchanganyiko wa udaga na mtama alafu mboga yako ikawa kuku...
Na Jeremy Howell
BBC
Timu ya wanasayansi wa Italia walisema waliweza kwa usahihi kuitambua tarehe ya Sanda ya Turin, na kwamba inaonyesha kuwa ilikuwa ni ya wakati wa Kristo.
Utafiti huu, uliochapishwa hapo awali mnamo 2022, unapinga mtazamo kwamba mabaki ya Sanda hiyo ni "bandia" na inaweza...
Hello!
Sometimes najuta kuacha masomo ya Sayansi mapema sana, ila muda mwingine naona kuwa nilifanya uamuzi sahihi nikiangalia wenzangu waliokomalia hayo masomo ya Sayansi almaarufu physics na Chemistry.
Wale niliosoma nao Ordinary level na wakaendelea na masomo ya Sayansi mpaka sasa...
Ni vema nyakati hizi tukawa tunaelezana mambo kwa usahihi kabisa tukiongozwa na nguli wa industry husika
Kwa sasa story ya mjini ni mikopo
Niwaombe Nguli wa Finance watujuze Mikopo Nafuu kwa level za kimataifa tunaipimaje
Kwa rate ya interest?
Au kwa Collateral inayohusika na mkopo?
Ama...
Huwa na waza sana, kwamba ili mtu awe hai ni lazima moyo uendelee kufanya kazi na kusuply damu maeneo yote ya mwili.
Sasa wanasayansi wanashindwa vipi kutengenezea moyo bandia ili usaidiane na moyo halisi, ili itapofika muda moyo halisi umeshindwa kufanya kazi basi moyo bandia unaendelea...
Twende nami taratibu.
Baada ya kuwatazama Marais wa wakataa ndoa duniani sasa ni zamu ya watu maarufu walio nje ya ulingo wa siasa😎
1. Oprah Winfrey
Ukurasa unafunguliwa na huyu ajuza vijana wa kisasa wanasema shangazi.
Huyu legend wa kike ni mwanaharakati haswa wa wazee wa kataa ndoa.
Huyu...
Utafiti uligundua kwamba kufichuliwa kwa muda mrefu kwa mwanga mkali wa 'bluu' unaotolewa na simu za mkononi na taa za ofisi zenye taa za LED kunaweza kuwa 'sumu'.
Kuwashwa kwa mwili na mwanga wa speshi ya bluu kwa muda wote kunaweza kuvuruga kazi za kawaida za mwili na kusababisha kutokuwa...
Uvumbuzi siku hizi duniani umekwisha ? Au watu wenye akili nyingi wamepungua ?
Ile dunia wakati huo wanasayansi mbalimbali wakipigana vikumbo na mchaka mchaka wa kushindana kubuni formula, vitu na mambo mbalimbali ya kisayansi sasa kimya.
Ukisoma historia mchaka mchaka duniani enzi hizo wakina...
Anaandika Kenge
Tamaduni za wazee wa zamani waliishi kwenye misingi ya kuoa mabikra.Ilikua ni aibu kubwa sana kama ikibainika bint wa Mzee flani sio Bikra.Au Bwana fulani kaoa binti ambae sio bikra. Mapinduzi ya utandawazi yanafanya mambo haya yaonekane ni ya kizamani na yaliyopitwa na wakati...
Biblia imeandika kuhusu matumizi ya kadi za malipo karibu miaka 2000 iliyopita. Kwamba kutakuwa na teknolojia ambayo ita-control mfumo wa malipo dunia nzima.
Ufunuo 13:17
Hakuna ambaye angeweza kununua au kuuza bila ya kuwa na alama hii. (Alama hii ni jina la mnyama au namba ya jina lake.)
Kwa sasa kila mtu anatambua kuwa kadiri siku zinavyokwenda mbele ndio viwango vya joto duniani vinaendelea kuongezeka, dhana ambayo watu wengi walianza kuwa nayo akilini mwao miongo kadhaa iliyopita.
Tukitupia macho mwaka huu wa 2023 ambao ndio unaelekea ukingoni, tumeshuhudia kwa macho yetu...
Wanasayansi wamefanikiwa kufufua virusi vya 'Zombie' ambavyo vilikuwa vimelala kwa zaidi ya miaka 48,500 katika barafu.
Kuyeyuka kwa theluji katika eneo la Siberia nchini Urusi, kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa, kunaweza kuwa tishio jipya kwa afya ya binadamu na wanyama, kulingana na...
Hello guys;
Wale wanaofuatilia maswala ya anga tunaomba tuelimishane wakuu...
Leo habari kubwa nimekutana nayo mtandao wa Twitter ni juu ya India kufanikiwa na wao kutua mwezini. Wakitanguliwa na USA na USSR 1966 na China 2013
Sasa nikajiuliza kichwani lengo linakuwa ni nini? Kufanya utafiti...
UKOSEFU WA UWAJIBIKAJI WA WANASAYANSI KATIKA UHARIRI WA VINASABA.
Uhariri wa vinasaba (genetic editing) ni mchakato wa kubadilisha au kurekebisha sehemu za vinasaba (DNA au RNA) ya kiumbe hai. Teknolojia ya uhariri wa vinasaba inaruhusu wanasayansi kufanya mabadiliko maalum katika vinasaba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.