Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa kuna wanasiasa malaya, na akaongeza kuwa wanasiasa malaya wana bei. Ukiifikia bei yake, ananunulika.
Ukweli huu wa mwalimu unaishi mpaka leo. Tuna wanasiasa wachache sana wa itikadi, yaani wale ambao liwake jua au inyeshe huwezi kuwaondoa katika kile...