Wanabodi,
Watanzania wanajua wanavyotawaliwa na walivyotawaliwa. Kuna mambo yaliyofanywa au kufanywa na baadhi ya viongozi wetu yanatia shaka kuhusu utimamu wao kiafya hasa upstairs.
Haya ni mawazo na maoni yangu. Sijui kama wenzangu mnayaona haya. Na kama mnayaona, mnaonaje ushauri kuwa kuna...
Hii ni tahadhari yangu kwa Mbowe kuwa ustaarabu na uvumilivu wake sasa ufike kikomo, vinginevyo kuna siku watu watakuzomea kama ilivyokuwa kwa Masauni leo kwenye msiba wa Mzee Kibao.
Wenzako hawa hawana ustaarabu na hata shukurani hawana. Umekuwa muungwana sana katika kuongoza harakati za...
Kumekuwa na tabia ya ajabu sana miaka ya hivi karibuni, yaani mtu akiwa tu na nafasi na kupewa "microphone" anajiona kama sijui yupo chini ya mwamvuli gani, wanajisahau kuwa CCM inawajibika kwa wananchi na badala yake wanawaona wananchi kama watumishi wa CCM.
Kila taasisi, chama, kikundi au...
Hello !
Asubuhi asubuhi mwananchi yuko mlangoni kwa diwani kutaka chai , mchana ugali. Akiwa na mgonjwa kama hana pesa ya dawa mbio kwa diwani kuomba msaada.
Sasa diwani analemewa analazimika kukwapua kwenye fungu la kata ili aweze ku survive na kuonekana Mheshimiwa kama anavyotukuzwa ...
Nazungumzia katika zama hizi kuna Kiongozi asiyeteua nduguze na Marafiki washiriki kumsaidia katika Uongozi wake?
Hii Dunia imebadilika sana Uadui na uovu umetapakaa kila kona
Jumaa Mubarak 😃
Hakuna mwananchi anayeona kuna tishio au hali isiyo ya kawaida kwenye siasa. Ila viongozi wa kisiasa ni kama wamepaniki.
Pamoja na mikutano yote waliyofanya bado nafsini mwao wanaamini wananchi wana njaa na wakiruhusiwa kuonyesha njaa zao kura zitapungua.
Je makatazo haya hayapelekei kuathiri...
Hili ndilo tumekubaliana Wapiga kura wa Iringa mjini.
Zamu hii hatutakubali ujinga wowote kutoka chama chochote
Navalonge swela 🐼
Soma Pia:
Mimi niko tayari kwa kupiga kura 2024 na 2025, nishajiandisha wapenda mabadiliko na maendeleo mjitokeze kujiandikisha
Hasira za Wapigakura kwa Bandari...
Rais Samia Suluhu Hassan ameonya Wanasiasa, hususani wabunge na Madiwani kuanzisha vijiji katika maeneo ya hifadhi pindi wanapoona chaguzi zinakaribia na hawakubaliki.
Rais Samia amesema hayo leo Jumatatu Agosti 5, 2024 katika mkutano wa hadhara alipozungumza na wananchi wa Ifakara katika...
Dollar za kimarekani ziliadimika hivyo ilifanya biashara kwetu wakinga kuwa ngumu kidogo na Mimi pia nilikaa kimya kutafuta dollar ili kuweza kuagiza mizigo ya biashara, Kwa bahati nzuri hata Nairobi nao dollar ilikuwa shida kwao.
Turudi kwenye mada kwa sisi wana CCM na mambo yanayoendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.