wanasiasa uchwara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Afrika inaongozwa na wanasiasa uchwara

    Ukweli mchungu! Nchi nyingi za Kiafrika, zinaongozwa na wanasiasa mbumbumbu. Hii wala haihitaji kutumia nguvu kubwa kulitambua. Fuatilia wanasiasa wetu wengi, elimu zao ni za kuunga-unga. Wengi wana viraka vya elimu. Wengi wako kwenye nafasi aidha kwa sababu ya mchango wa wazazi wao au...
  2. kavulata

    Ngorongoro na Loliondo ni ushahidi mpya wa uwepo wa wanasiasa uchwara

    Uwepo wa wanasiasa uchwara Tanzania uligunduliwa kwa mara ya Rais William Benjamini Mkapa (RIP). Uchwara wa wanasiasa wetu haujali kuwa una elimu kiasi gani, kabila, dini wala jinsi ya mwanasiasa. Hivi zile sababu zilizosababisha ndugu zetu Wamasai wachanganywe na wanyamapori ziko mpaka leo...
  3. Chizi Maarifa

    Tanzania yetu kwa sasa imekuwa na UCHWARA mwingi kuliko uhalisia

    Ndio tanzania yetu kwa sasa imekuwa na UCHWARA mwingi kuliko uhalisia. Yaani unakuta mtu anayejiita mwanasiasa naye ni uchwara hamna kitu anachokifahamu vizuri au anachosimamia isipokuwa mihemko na ubinafsi. Chama nacho ni uchwara, hakina msimamo unaoeleweka au misingi ya chama kinaendana na...
  4. sammosses

    Tanzania kiwanda cha wanasiasa uchwara

    Toka Tanzania ipate uhuru mpaka sasa ni takribani miaka 60 tuna kimbilia robo tatu Karne,tukishuhudia mabadiliko ya kimfumo na siasa zinazo zalisha wanasiasa UCHWARA. Wanasiasa Giants wenye kuheshimika wameendelea kupoteza dira na mwelekeo wa kisiasa kwa kutokujua lengo na matakwa yao kisiasa...
Back
Top Bottom