Kenya nini kinaendelea huko majirani?
Caren Atieno Muga, aliyekuwa MCA mteule wa Kaunti ya Kisumu, amekamatwa baada ya kuhusishwa na sakata ya uvunaji na uuzaji wa viungo vya binadamu.
Bi. Muga alikamatwa akiwa barabarani katika eneo la Chemelil-Miwani-Kisumu wakati akijaribu kutoroka...