Katika Ziara za mheshimiwa wetu Samia huko Morogoro "amesema kuna wanasiasa "wajanja" wanaonunua mazao kwa ei ya chini na hivyo kuelekeza bei zipandishwe.
Nyerere aliwaita "kupe, wahujumu uchumi, mafedhul na mabaradhuli"
Kuwaita wajanja unawapa uhalali wa kuendela kufanya wafanyalo na kuona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.