Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Masimba upo karibu na maeneo ya Uwanja wa Ndege wa hapa Tabora, miaka kadhaa nyuma sisi wakazi wa hapa tulishuhudia mamlaka ya Uwanja wa Ndege ikipita na kuzungushia uzio maeneo yote ya Uwanja huo.
Lengo lao kuu ilikuwa ni kuweka angalizo ili Wananchi wasije wakaingilia...
Kuna Mtanzania mwenzetu anaitwa Juma Ally Maganga ambaye ni dereva wa magari makubwa, inadaiwa anashikiliwa na Watu ambao wanadai wao ni Askari Polisi Nchini Sudan Kusini, sababu ya kumshika ni kwamba wanamtuhumua amemgonga mtu na kusababisha kifo wakati alipokuwa katika safari zake akipita...
Wakuu
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, akizungumza katika Kongamano la Wanawake lililofanyika jijini Dodoma leo, Februari 4 amedai "Siku hizi wako watu nje ya Tanzania, na wana Vibaraka ndani ya Tanzania ambao wanasema CCM mmekaa sana madarakani. Na mimi nawauliza...
Wadada Wanataka Wanaume Matajiri wa pesa alafu wao Ni maskini wa Akili,Utajiri na Ujinga Havikai sehemu moja",
Ndio Maana Badala ya kuwa Na wadangaji mabilionea tuna wadangaji masingle mother wanaoita Wanaume wote Ni mbwa 😂😂😂",
Wadada kumiliki Hela Sio kitu Rahisi,Ingekuwa Ni Simple Baba Zenu...
Limkutano likubwa mnaweka watangazaji wa TBC wanaowaogopa wageni.
Kikeke yupo hapo....Yunusi yupo hapo. Iteni watu wanaoweza kuwahoji wageni wawahoji Marais kadri wanavyoingia nchini. Hii ni fursa ya kujitangaza na kujijengea heshima.
Tuchangamke wabongo.
Na kesho ndiyo itakuwa aibu kama...
Watanzania wengi hawajali vyama vya siasa wanajali Haki. CCM wanatumia pesa za serikali lakini kwasababu ya rushwa kubwa iliyopo serikalini na wananchi kukosa haki zao za msingi kuanzia mahakamani, chaguzi, polisi na mambo mengine tusishangae Watanzania wengi kufuatilia mkutano wa Chadema kuliko...
Kuna sehemu nimeona tangazo la kazi, na hakuna mtu aliyeomba; sasa najiuliza hawa wanaosema ajira hakuna, wanataka ajira zipi?
Wanahitajika:-
Wachoma mahindi nafasi 2000
Watembeza kahawa maeneo ya stendi nafasi 1000
Watembeza mayai mchemsho nafasi 500
Watembeza karanga zakukaangwa nafasi 1000...
Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya ndugu wanaJF. Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Baada ya CCM kumpigia Mbowe kelele kwa muda mrefu kwa sababu za kuchakachua katiba ya CHADEMA ili akae madarakani milele, ghafla wamebadilisha gea angani na kuanza kumuunga mkono...
Humu jf kuna bifu kati ya mashabiki wa Freeman Mbowe na Tundu Lissu na machawa wa pande zote. Wengi ima hawajui mchezo wa siasa au hawana hata chembe juu ya demokrasia. Chadema, tofauti na CCM ni chama cha kila mmoja. Hivyo, wawili hawa wanapopambana kugombea uenyekiti si tatizo. Siyo sawa na...
Hali zenu wandugu?
Kuna tangazo la kazi za BOT zilitangazwa na Ajira portal,lile tangazo lilisema wanatakiwa kuapply watu wenye upper and first class pekee, ila cha kushangaza mfumo uliruhusu mtu yeyote mwenye degree tajwa aombe.
Hivi tunaweza kuitwa kweli kwenye usaili, na imekuaje mpaka...
Anaandika Wakili Joseph oleshangay
freemanmbowetz anaashiria maridhiano yalikwama Kwa sababu ya negative energy kutoka Chadema “team Lissu”
Kwa sehemu kubwa ya hotuba ya freemanmbowetz , suluhuSamia is just a pure soul.
Anasema wamenunua ofisi 1.6b kutokana na maridhiano wakapewa ruzuku. Ila...
Mpo Salama kabisa!
Naona Team Lisu mmekwaza, mmekata tamaa lakini pia Wanachadema ambao sio team Lisu lakini mnahitaji mabadiliko mapya na uongozi wenye mawazo na mbinu Mpya. Poleni Sana. Ndivyo siasa zilivyo.
Kwa mara ya Kwanza Historia itaandikwa, kiongozi anayeongoza CHADEMA kuwavutia CCM...
Kwa kweli nimefarijika sana. Mbowe anapendwa sana. Anapendwa hadi na wana CCM. Akina Mshamba na tilalila wanampigia upatu Mbowe abaki Mwenyekiti. Hawamtaki Lissu.
Hii inaonesha udugu ambao umeanza wa CCM na CDM kwa namna ambayo ni nzuri kabisa. Yaani ukute siku Simba wanataka Kocha wa Yanga...
Hapo unaweza kujiuliza ndani ya CCM kuna watu wenye vichwa vya aina gani , maana wanaona sasa watakosa hoja ya kuikosoa CHADEMA hivyo wanalazimisha abaki mbowe ili hoja yao iendelee kutamalaki.
CCM imejaa viongozi wabinafsi sana wananchi wenye akili wanaliona hilo, wamevuruga uchaguzi wa...
Leo nimekaa zangu nimetulia sitaki kuandika chochote, ghafla nakutana na kipeperushi cha polisi kwenye mitandao ya jamii. Nikadhani labda kina taarifa ya muhimu, kumbe ni upumbavu tu umejaa humo na kuparamia mambo wasiyoyajua na yasiyowahusu.
Nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu hiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.