Wababa wa Mpanda mbona hivyo lakini?
Ila wanaume wengi wa mikoani wamekuwa wategevu kwa namna fulani katika kujishughulisha na majukumu ya kuelea familia, hii sasa ni balaa na tabu tupu!
==================
Kampeni ya msaada wa kisheria ya "Mama Samia Legal Aid Campaign" inaendelea mkoani...