Tunaishi katika dunia iliyojaa hila na udanganyifu. Uaminifu umepotea, na sasa kitanda kinazaa haramu
Mtoto ambae anaonesha tabia zisizoeleweka binafsi namuona haramu
—si kila unayemlea ni wako, na si kila unayemwamini ana nia njema.
Leo nimepitia Facebook, nikaona jambo la kusikitisha na...