wanaume na wanawake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Haya ndio top 5 ya ma-group yaliyopo kwenye simu za wanaume na wanawake.

    LADIES: 1: Dada's Urembo na style 2: Toto's group ujauzito hadi malezi 3: Msusi online matunzo na style za nywele 4: Aunty Mwajuma kungwi na ushauri 5: alex udaku 24hrs WANAUME SASA😂😂 1: Buza wa buku buku 2: koneksheni pro max pisi kalii 3: Utamu pande zote 4: 18+ raha zote 5: Auto check magari...
  2. T

    Tofauti ya Wanaume na Wanawake wanapokwenda Salon kutengenezwa

  3. Kwanini vyoo vya umma vinatengwa kwa jinsia ya wanaume(ME) na wanawake(KE)?

    Kwanini vyoo vya umma vya watu wazima huwa vinatengewa kwa jinsia ya Wanawake(KE) na Wanaume(ME)? Kuna tatizo gani kwa wanaume na wanawake kutumia choo kimoja? Kwanini vyoo havitenganishwi vya watoto na watu wazima?
  4. Wanaume na wanawake wanaojitambua ambao hawajawai Kufanya uzinzi walio jitunza naomba tujuane hapa tafadhali

    Wanaume na wanawake wanaojitambua ambao hawajawai Kufanya uzinzi walio jitunza naomba tujuane hapa tafadhali
  5. Wanaume na wanawake mnaoendesha magari machafu mmelaaniwa hakika mjitathimini upya

    Ndugu zangu natumaini mnaendelea salama kwa wale wenye changamoto ya kiafya na kiuchumi Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi . Amina Bila ya kupepesa macho huu ni ukweli usiopingika kwamba mnao endesha magari machafu mnalaana za uchafu uliokithiri kupita kiasi. Hakika mmelaaniwa Ndugu zangu...
  6. Wanaume na Wanawake Njooni hapa Sharti na kuoa au kuolewa. Tahadhari muisome

    Imekuwa desturi ama mila ama utamaduni kuhusu kuoa ama kuolewa. Lakini kuna mambo ya misingi ambayo katika ngazi familia, koo, jamii, kanisani,, misikitini, shuleni, na vyuoni yapaswa kuwa sehemu ya mafundisho. Kumwandaa Mume, Mke, Baba, na Mama ni wajibu wa msingi katika jamii na Taifa...
  7. Mwanaume, usimng'anganie asiyekupenda. Usimfukuzie mwanamke kama vile ndiyo kusudi lako kuishi hapa duniani

    Kwanini umfukuzie naye wakati haonyeshi juhudi zake kukufukuzia? Nilikumbuka nilipokuwa nikiburudika na Ex wangu, Sally. Alikuwa na mazoea ya kuweka simu yake kwenye silent wakati wowote nikiwa naye. Siku hii, simu yake iliendelea kulia, ikionyesha simu zinazoingia, lakini aliendelea kukataa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…