Huwa nasemaga tu kwa nilichokishuhudia na sidanganyagi
Nimepitia hapa Ubungo nikasema nitafute lodge nipumzike mwenyewe tu mara Gafla kaingia jamaa mmoja mfupi kama nyundo ni balaa kachomekea tu smart yupo na binti mrefu Mashaallah yule kama sio mtoto wa kizanzibari basi kiiraq, au msomali...