wanaume wa dar

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Katika uchunguzi wangu nilioufanya, nimegundua hizi sifa za wanaume wa Dar

    Katika uchunguzi wangu nilioufanya kwa miaka kadhaa nimegundua yafuatayo: Wengi wao wanapenda kushidia chipsi/yai Nguvu hawana wamekaa kama mrendamrenda watoto wa mama Hapa na pale tu usafiri Kama si kasusu, kimoko chali Wanapenda kuvaa vikaptura kuonyesha sehemu kubwa za maungo yao Pia...
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Nikweli yasemwayo kuwa wanaume wa Dar hawawezi kumenya muwa Otherwise watengenezewe juice?

    Wanaume wa Dar mmiminike kujibu hoja zetu za wanaume wa mkoani. Wadau mambo mengi yanasemwa sana kuhusu wanaume wa dar mengi yakiwasilishwa kwa njia ya utani. Leo asubuhi nimekutana na jamaa yangu tunafanya nae kazi pamoja katika story ikabidi twende nae shamba kwenye lile shamba huwa kuna...
  3. P

    Je, tutatarajia maandamano kufanywa na wanaume wa Dar na Pwani?

    Kesho itakuwa tarehe 23 Sept 2024. Siku ambayo chadema wamepanga kufanya maandamano ya amani kuishinikiza serikali kuwarudisha makada wote wa chadema waliotekwa na wasiojulikana lakini pia kuomba haki itendeke kwa waliouawa. Serikali kupitia jeshi la polisi imepiga marufuku maandamano haya kwa...
  4. M

    Kwa Chakula kama hiki wanaume wa Dar mtakuwa na nguvu za kiume? Mkongo nao umepigwa stop

  5. nyboma

    UTEUZI: Amos Makalla ahamishiwa Mwanza, Chalamila apelekwa Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa kama ifuatavyo: 1. Bw. Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. 2. Bw. Adam Kighoma Malima amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa...
  6. kyagata

    Wanaume wa Dar mnapenda kunywa pombe laini.

    Kuna bar hapa mbezi nimekuja na jamaa angu,kila mwanaume ninaemuona kashikilia savanna,Flying fish au Serengeti light. Acheni kunywa pombe za wadada bana
  7. sinza pazuri

    Wanaume wa Dar wanaongoza kupigwa vita ila ndiyo sukari ya warembo

    "Wanaume wa Dar" ni jina ambalo limekuwa linatumika sana mitandaoni likiwa na maana ya kudogosha uanaume wa vijana awa waliozaliwa mjini. Sifa kuu ya wanaume wa Dar ni usafi, ujanja, exposure na ndoto kubwa kubwa. Wanaume wa Dar wanajipenda sana kuanzia chakula wanachokula, mavazi wanayovaa...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Wanaume wa Dar huogopwa zaidi na wanaume wa Mikoani

    WANAUME WA DAR HUOGOPWA ZAIDI NA WANAUME WA MIKOANI! Anaandika Robert Heriel Ili uwe mwanaume wa Dar itakupasa uwe umeishi Dar kwa zaidi ya miaka 10 mfululizo, wanaume wa Dar wanaogopwa Sana na wanaume wa mikoani tangu nchi hii ipate Uhuru. Zipo sababu nyingi za Jambo hili kuwa kama lilivyo...
  9. L

    Hivi ndo vitoto vinavyonyima usingizi wanaume wa Dar

    Yaani hawa watoto wanawafanya nyie wanaume wa Dar msilale.....
  10. voicer

    Wanaume wa Dar! Mitaa mitatu Mnatekwa na Panya Road?

    Mitaa mitatu yote kutekwa kwa wakati mmoja huko chanika,bila hata Panya mmoja kukamatwa au kujeruhiwa. Hili jambo nashindwa kulielewa kabisa! Nafikiria ingekuwa vipi kama hao Panya road wangejaribu huo ujinga huku mikoani. Sijui kama wangekuwa hai mpaka saa hii! Wanaume wa Dar es salaam...
  11. Miss Natafuta

    Wanaume wa Dar motoni moja kwa moja

    Ulitaka kuingia kwenye mahusiano na mwanaume wa Dar Mkaka: Dada nimekupenda niko serious nataka mke Mdada: Sawa tu niko tayari Mkaka : Baby una mtoto? Mdada; Sina baby, wewe unae? Mkaka: Ndio mpenzi ninao wawili, ukinizalia watatu inanitosha. Mdada: Ooh hongera sana. Wanao wako wapi...
  12. G

    Wanaume wa Dar (Sinza) mmezidi

    Leo nimekutana na kituko cha mwaka aisee, nilikuwa maeneo ya Sinza napata chakula cha mchana ghafla jamaa akaja na mtu anakibeg mgongoni akakaa kwenye kitu huku wakiangaliana. Baada ya muda akanyoosha mguu na kuweka kisturi kidogo kilichokuwa pale si akaanza kumkata kucha na kumsugua miguu. Dah...
  13. Sky Eclat

    Wanaume wa Dar wanajua hivi ni vifaa vya ujenzi

  14. moyafricatz

    Utofauti wa watu wa Dar na wa mkoani huu hapa

    Umeenda semina Njombe, una ndugu yako kule. Unamtaarifu unakuja kumtembelea. Anakuambia karibu sana. Anakuelekeza panda daladala za Ramadhani shukia kwa Sanga. Unashuka stendi unamkuta ndugu yako na mkewe na watoto stendi wamekuja kukupokea! Mnatembea kitambo na kufika kwake. Watoto waliobaki...
Back
Top Bottom