wanaume wema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwenu wanaume wema: Bado mpo na Mungu, awape maisha marefu sana sana!!

    Naona kuna mtiririko wa mada nyingi za kukataa ndoa, kwanza niseme mimi nimeolewa na mume ambaye sijutii, hakika sijutii kabisa kuolewa naye tulianzaje bas kisa hiki nina imani kitakua na namna flan ya kufundisha hata kutia moyo wale ambao mioyo ilishakufa zamani kuhusiana na ndoa au mahusiano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…