Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametajwa miongoni mwa wanawake 100 wenye ushawishi zaidi Barani Afrika. Rais Samia ametajwa na Jarida la Most Influecial African Women (MOAW) miongoni mwa wanawake mwenye ushawishi Barani Afrika katika kipengele cha Uongozi...