Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema kuwa CCM imefanya juhudi kubwa katika kuleta mabadiliko katika sekta ya elimu kwa wanawake wa Tanzania.
Akizungumza wakati wa Kongamano la Wanawake lilioandaliwa na Jumuiya ya Wanawake ya CCM (UWT) mjini Dodoma, Wasira...