Kuna msemo ambao wanaume wengi hupenda kuusema: “Mwanamke ukimpa hela hawezi kukushukuru kama mwanaume akipewa kiasi hicho hicho.”
Lakini je, hii ni kweli au ni uzoefu wa baadhi ya wanaume unaofanywa kuwa sheria kwa wanawake wote?
Tuseme mwanaume amempa mwanamke laki moja, akamshukuru lakini...