Habari wadau.
Wanawake sijui akili zao huwa wanazipeleka wapi .
Ipo hivi kutokana na mimi kuwa mpenzi wa mpira.Sasa nimekuwa na kawaida ya kwenda ukumbi fulani ambapo kuna baa hapohapo.
Nikifika hapo naagiza zangu soda nacheki mpira huku nakunywa taratibu soda maana mimi sio mtumiaji wa pombe...