Nilikuwa naangalia hii video niliyotumiwa na rafiki ya mmoja.
Kwenye video hii inaonesha tangu mtu anafungwa kwenye sanda mpaka anazikwa.
Nikajiuliza ni kwa nini waislamu wanazuia wanawake kwenda kuzika. Je, ni Muongozo wa dini yao unaotokana na maamrisho ya mwenyezimungu yaliyomo kwenye...