Napita kwenye mtando fulani kupitia kipindi cha chanel 5 kikimuonesha Joyce Kiria yaani aliyokuwa anayaongea kama kuna wanawake wanao sikilizaga kile kipindi cha ze dada huko mtapoteza mahusiano sana.
Tuje kwa hawa wengine wanao wapa ushauri sijui mahari bilioni wakati mfahamu uchi anampa nani...