wanawake na mapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Kwanini wanawake wanapenda kupata vingi kutoka kwa wanaume? Siku hizi wanapeana shule kabisa kumchuma mwanaume!

    Hii tabia ya wanawake kupenda kula vingi vya mwanaume, kulelewa au kupata kila kitu kwa wanaume itakuja kufikia mwisho? Kasi ya wanawake kufundishana kupata vitu kutoka kwa wanaume inazidi kila siku! Hili ni janga.
Back
Top Bottom