Wasalam wakuu.
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya wadada kuwa na maringo. Unakuta mwanamke miaka 40 kupanda unatongzwa halafu anaweka maringo. Mkae mkijua wanaume wa sasa sio wakizamani ukiringa wanakukaushia.
Mtu mwenyewe sura mbaya hali ngumu watoto kama wote kila mtoto na baba yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.