wanawake na pesa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwanini wanawake wanapenda kupata vingi kutoka kwa wanaume? Siku hizi wanapeana shule kabisa kumchuma mwanaume!

    Hii tabia ya wanawake kupenda kula vingi vya mwanaume, kulelewa au kupata kila kitu kwa wanaume itakuja kufikia mwisho? Kasi ya wanawake kufundishana kupata vitu kutoka kwa wanaume inazidi kila siku! Hili ni janga.
  2. Pre GE2025 Wajumbe Wanawake Kamati za Shehia waleta mabadiliko Shehia za Micheweni, Sera usawa ya Kijinsia bado kitendawili

    SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatambua umuhimu wa kukuza usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa Wanawake. Uwepo wa sera ya Maendeleo ya Wanawake na Jinsia ya mwaka 2000 na Mkakati wa Utekelezaji wake ya mwaka 2005, unathibitisha dhamira ya wazi ya Serikali ya kukuza usawa wa...
  3. Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

    Wakuu Habari zenu! Kiukweli wanawake wamezidi sana kuomba pesa yaani ukienda WhatsApp ni hatari, ukikaa kidogo kwenye SMS utasikia nikwambie kitu kumbe unaombwa hela. Jamani tabia hii kwa wanawake imekuwa kero kuliko hata wale wanaoomba msaada barabarani. Bora hela yangu nimpe yule mtoto mdogo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…