wanawake na siasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Parabolic

    Pre GE2025 Ijue idadi ya wanawake Kamati Kuu za CCM, ACT Wazalendo, CHADEMA na CUF. Uwiano huu ni sababu hawana uwezo?

    Ijue idadi ya wanawake katika Kamati kuu za CCM, Chadema, ACT Wazalendo na CUF ACT WAZALENDO Kamati kuu ya ACT Wazalendo ina wajumbe 55 ambao kati yao 23 ni wanawake. Wajumbe hao ni pamoja na Kiongozi wa chama, Naibu kiongozi wa chama, Mwenyekiti wa Taifa, makamu wenyeviti (Bara na...
  2. Mindyou

    Pre GE2025 Mwenyekiti wa BAZECHA Susan Lyimo: CHADEMA Mwenyekiti na Makamu Wenyeviti wote ni wanaume. Hii haileti picha nzuri!

    Wakuu, Mambo yameanza kuchangamka huko CHADEMA. Akiwa anazungumza leo kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, Mwenyekiti wa BZECHA ametangaza kwamba kwenye Uchaguzi ujao wa CHADEMA anategemea kuona kwenye zile nafasi sita za juu za kwenye chama basi mwanamke pia anakuwepo "Tunategemea...
  3. Pascal Mayalla

    Pre GE2025 Siku ya Wanawake Duniani: Wanawake acheni kubwetekea kubebwa. Viti Maalumu ni kubebwa

    Wanabodi, Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, hivyo hizi ni salaam zangu za Siku ya Wanawake Duniani kwa wanawake wote wa Tanzania. Kwa Tanzania, Maadhimisho rasmi ya kitaifa yanafanyikia Uwanja wa Sheikh Amri Abedi, jijini Arusha, mgeni Rasmi akiwa ni Rais Samia. Hili ni bandiko la swali, kwa...
  4. Waufukweni

    Pre GE2025 Rais Samia afunguka ya Moyoni: Kuna waliosema tuna Rais wa kuambiwa afanye na mwenye maamuzi ya Kitchen Party, hatuna Rais tuna House girl…

    Rais Samia afunguka ya Moyoni kuhusu kauli za Wahafidhina wa mfumo dume ambao hawakuwa na imani naye wakati anachukua nafasi ya Urais na waliothubutu kusema "Tuna Rais wakuambiwa afanye na mwenye maamuzi ya Kitchen Party" wakati akizungumzia nafasi ya Mwanamke katika Uongozi katika Siasa...
  5. MulengaMulenga

    Pre GE2025 Viti vya wanawake bungeni viongezwe mpaka 50% ili tupate akina Samia wengi wanaoongoza kwa weledi

    Wakuu, Majirani zetu nchini Rwanda tayari wametuonyesha kwamba inawezekana kubadilisha hali ya siasa inayowabagua wanawake. Wamefanikiwa kufikia asilimia 63.75 ya wabunge wanawake katika nchi yao. Sasa sisi tunakwama wapi? Ukiangalia bungeni wanawake ni 37%, hii haitoshi, maana kama wanawake...
  6. Mindyou

    Pre GE2025 CCM kumchagua Wasira kama Makamu Mwenyekiti ni tusi kubwa kwa vijana na wanawake wa chama hicho. UWT na UVCCM mbona mko kimya?

    Wakuu, CCM soon inaelekea kutimiza miaka 50. Lakini kuna mambo ndani ya chama hicho bado haya-make sense kabisa. Kwa hivi karibuni, huko Dodoma kulikuwa na tukio la kumsimika Steven Wasira kama Makamu Mwenyekiti wa chama hicho. Maana yake ni kwamba, Wasira anakuwa Mwanaume 8 kushika nafasi...
  7. M

    Pre GE2025 Ushiriki mdogo wa wanawake nafasi za Uongozi CHADEMA unakwamisha juhudi za kufikia usawa wa kijinsia kwenye demokrasia

    Wakuu, kama mnavyojua, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimefanya chaguzi mbalimbali kuanzia ngazi ya Kanda hadi Taifa. Jambo moja lililonivutia kufikiria kwa kina ni ushiriki mdogo wa wanawake katika nafasi za uongozi. Hili ni tatizo linalozidi kuathiri usawa wa kijinsia katika siasa...
  8. M

    Pre GE2025 Mifumo Dume bado ni changamoto kwa Wanawake katika Vyama vya Siasa Nchini

    “Niliingia katika siasa kwa sababu, niliona masuala mengi ya wanawake hayaingii kwenye sera mipango na bajeti kwa kuwa, nafasi nyingi za maamuzi zimeshikiliwa na wanaume. “Hiyo ni kwasababu ya kushamiri kwa “Mifumo Dume” katika vyama vya Siasa nchini, nilitamani kuingia kwenye uongozi kufanya...
  9. Waufukweni

    Pre GE2025 Wanawake kushiriki kwenye nafasi za uongozi ni chachu ya wengine kufuata nyayo

    Katika ukanda wa Afrika Mashariki, Tanzania inaongoza katika kuimarisha ushiriki wa wanawake kwenye uongozi. Wanawake wanaochukua nafasi za uongozi wanatoa mfano bora kwa wenzao, wakionesha kuwa uongozi si wa wanaume pekee, bali ni haki ya kila mtu mwenye uwezo na dhamira ya kuleta mabadiliko...
  10. Lady Whistledown

    Pre GE2025 Mzazi/Mlezi, Ungependa Binti yako awe Mwanasiasa?

    “Wazazi na walezi, je, mnaona umuhimu wa mabinti wenu kujihusisha na siasa? Je, mko tayari kuwaunga mkono katika safari hiyo ya uongozi na mabadiliko? Tushirikiane mawazo!
  11. Lady Whistledown

    Pre GE2025 Ni mwanasiasa gani Mwanamke wa Tanzania ambaye unavutiwa na Utendaji Kazi wake?

    Tanzania ina historia ya kuwa na wanasiasa wa kike wenye ushawishi mkubwa katika ujenzi wa taifa na kuleta mabadiliko chanya. Wanawake hawa wamekuwa mstari wa mbele katika kukuza siasa, kuongoza mabadiliko, na kupaza sauti za wananchi katika kushughulikia changamoto mbalimbali. Je, ni yupi...
Back
Top Bottom