Mada ni kwa mtindo wa swali.
Nguvu inayotumiwa na jamii ya Kiafrica kukemea ushoga inaridhisha. Ni kikundi kidogo sana kinaunga mkono ushoga.
Kwa sasa ukienda gest hamruhusiwi kulala wanaume tupu labda mlazimishe kwa kumpanga mhudumu. Lakini suala ya wanawake kulala chumba kimoja ni ruksa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.