Tatoo ni utamaduni kama utamaduni mwengine, na wala sikatai mtu kuchora tatoo kama anaona inafaa hata mimi nimechora ila kwa wanawake kuna mambo nimenote:-
Ogopa sana mwanamke mwenye hizi sifa na vitu hivi kavaa kwa pamoja
1. Tatoo zaidi ya moja moja na sanasana ogopa sana mwanamke mwenye...