1: Katika umri wa miaka 14,Huanza kuonekana ni mabinti wa kuanza kutamanisha kwa uzuri...πππ
2: katika umri wa 16 huanza kujiskia na kujiona wanatamani kua na wanaume waliowapita umri,na hutamani kua na wale wanaume wenye kuvutia hapo,shuleni,au kwenye makundi yao..ππ€£,huvutiwa vutiwa na wale...