Hbr wana JF,
Mwaka jana nilipata binti mmoja ambae tulifahamiana kwa muda kidogo tukaanza mahusiano. Nilimpenda sana, nikajitahidi kumtimizia kila analohitaji. Nilijifunza kwenye mahusiano yangu ya awali, nikasema huyu nifanye tofauti sasa na mimi niwe na familia. Mwanzo mapenzi yalikua...
Nenda vijiji vya mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Geita, Mbeya, Ruvuma, Rukwa na Katavi utakutana na wanawake waliolelewa na wakaleleka.
Kila mwanaume kwao ni kama mfalme. Hawathubutu kamwe, huona soni na hivyo kutoka ndani mioyoni mwao huonesha heshima ya hali ya juu sana kwa kupiga magoti...
Wanaijua shida, kwasabb kucha kutwa kiguu na njia, jua na mvua ni vyao.
Ukimuoa mwanamke wa hivi, ukamuweka ndani akaanza kula akiwa kivulini utanishukuru.
Baadhi ya wanaume ni wajinga sana
Wanaume hao hudhani kuwa wanahitaji wanawake tu kwa ajili ya ngono ila hawataki kuoa mwanamke asiye bikira.
Kwa kawaida hupewa ngono kwa ukarimu kutoka kwa wanawake wasio na waume lakini pia wapo wale walioolewa kama kina mama Kijacho.
Kando na hao, kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.