Ningeulizwa Version sahihi ya mwanamke Africa mashariki na Kati inapatikana wapi bila kupoteza muda najibu ni RWANDA alafu ningeulizwa Why? Maelezo yangu yangekuwa haya Of course sitaki kuponda wanawake wa nyumbani(TZ) ila panapo ukweli inabidi usemwe bila kujali kuwa utaumiza. binafsi sijawahi...