Wakuu,
Kuna hii tabia ya hawa wanawake wa hapa kwetu Tanzania kupenda kuomba omba sana.
Mfano nimeamka tu asubuhi ya leo nimekutana na vijimeseji vya kuombwa mara elfu 15 mara elfu 10,na cha kushangaza hao wanaonipiga vizinga wako poa tu kiuchumi mmoja ni banker na mwingine yuko kwenye NGO...
Hii sasa imevuka mipaka. Migogoro na ugomvi ni wa kutosha baada ya kudhulumiana pesa. Michezo ni mingi mno. Kuna hadi michezo ya vyombo. Michezo karibu yote haifuati sheria wala utaratibu unaoeleweka. Mbaya zaidi utakuta vikundi vingine ni vya ONLINE.
Wewe mwanamke wa Tanzania nakuamuru achana...
Wakati harakati za wakenya kupinga Bajeti ya nchi hiyo zikiendelea, nimekuwa navutiwa na ujasiri wa wanawake wa Kenya wanavyopambana mstari wa mbele kupinga Bajeti hiyo.
Wanawake hao wanapaza sauti zao bila ya hofu wala jazba lakini kiufundi Sana wanaonesha hasira zao dhidi ya Serikali ya nchi...
Wakuu,
Mimi nikiwa kama Mtanzania mwenye akili timamu, nimechukizwa sana na jinsi watanzania mbalimbali walivyolishadadia na kuendelea kuchangia maoni yao kwa wanafunzi waliokuja kutoka Sudan kufanya mafunzo yao ya udaktari kwa vitendo katika chuo cha Afya Muhimbili.
Nasema nimegadhabishwa kwa...
Mheshimiwa akiwa anaongea na madreva tours waliomtembelea nyumbani kwake pale njiro jijini Arusha ametoa maoni yake, kasema kua wanawake wa Tanzania hawajui kupika chakula chochote zaidi wanaloweka tu.
Kasema toka aingie nchini canada anapikiwa chakula chenye viwango vya kimataifa ambapo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.