Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, amesema kuwa hospitali zote za umma na binafsi zinapaswa kuwahudumia wajawazito na wagonjwa wa dharura bila masharti ya malipo ya awali.
Ametoa kauli hiyo bungeni Ijumaa, Januari 31, 2025, akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu, Anatropia Theonest...