Habari zenu vijana wapambanaji.
Nimeikuta sehemu nimecopy na kuiwasilisha kama ilivyo, twende sawa hapo chini kwa kuangalia mambo 25 ya kuzingatia unapoenda kununua Utelezi.
Mambo haya pengine ni ya aibu na hayasemeki kwa urahisi tena hayafurahishi kusemwa hadharani.
Lakini leo nitayasema Kwa...
KUNUNUA MALAYA NI SAWA NA FISI KULA MIZOGA AU SIMBA ALÍYEZEEKA KULA VIBUDU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Sio kila kiumbe kinapenda hekaheka, kutoana jasho, vipo viumbe hula mizoga kwa sababu kula mizoga haihitaji nguvu ñyingi wala jitihada kubwa.
Mzoga unapatikana kirahisi.
Fisi...