Habarini,
Unakutana na mdada mwenye mwonekano mzuri, shepu ipo, lakini yuko single, hana mtoto, na yupo kwenye umri wa kuolewa, mpaka unajiuliza huyu amelogwa na her village people, au ana jini mahaba, wanaume hawaoni uzuri wake au? Ila ukipata wasaa wa ku-interact nae kwa karibu zaidi...