Huu ndo ukweli, mtoto anarithi akili za mama, mama akili ovyo kichwani tegemea na uzao wako utakuwa hovyo.
Mungu hakupi vyote, huwezi kukuta mwanamke mrembo akawa vizuri kichwani, ana uzuri lakini kasoro yake ni akili.
Utakuta wanawake warembo watakuzalia watoto darasani hata umpe mwalimu wake...