Daaah, ila maisha yanaenda Kasi sana.
Alipokuwa msichana mrembo pale ITV na Redio One alijulikana kama Beatrice Chalamila Binti kutokea Mkoani Iringa.
Baada ya kupagawa na usakataji kabumbu pamoja na uhandsome wa mkaka aliyejulikana kama Boniface MKWASA, mchezaji wa timu ya Young Africans...