Wiki hii gumzo mitandaoni limechochewa na hatua ya TAWA pamoja na TANAPA kumkataza kijana maarufu wa mitandaoni, Jose Mlavichwa, kuendelea kupost video zake akila vyakula vya asili kama Kenge, konokono na viumbe wengine wa porini.
Wapo wanaohoji: “Hivi kweli kenge na konokono mtu akila ni kosa...