Kuna vita ya kikoo kwa sasa inaendelea Tarime kimya kimya, baina ya koo ya Wanchari na Wakira.
Kinachogombaniwa hapa ni mashamba mipakani mwa vijiji vyao.
mgogoro huu unasababishwa na tajiri mmoja ambaye anakodisha mashamba ya koo nyingine kwa nguvu huku akidhamini vijana kutoka sehemu...