Kuna wakati kwenye jamii ambayo tumekuwa tunaishi watu wamekuwa wakibadilika mitazamo baada ya mtu kufariki,kutokuwepo nk.
Mfano, unakuta kiongozi labda yupo madarakani basi watu wanamchukia au kutomkubali kwa namna moja ama nyingine,ila aking’atuka madarakani basi kwa namna moja ama nyingine...