Salaam, Shalom!!
Awamu ya Tatu, Ben Mkapa aliwateketeza wachuna ngozi bila huruma yoyote na huo UOVU ulikoma. Albino waliishi Kwa Amani kipindi Cha miaka iliyopita hivi karibuni, imeanza tena.
Kwa sasa ninishuhudia mpishano usio wa kawaida wa Waganga wapiga ramli kwenye ofisi za wanasiasa...