Habari yenu ndugu zangu.
Niende kwenye mada.
Mimi nina mchumba wangu toka mwaka juzi tupo kwenye uchumba na mwakani tumepanga kufunga ndoa.
Sasa mwaka jana mwezi wa 6 nilipata transfer nikahamia mkoa mwingine (Kaskazini hukuhuku).
Sikuweza kuhama na mchumba wangu kwasababu hatukuwa tunaishi...