Kwa sisi ambao ingalau tumepitia JKT, tuliopata mafunzo kamili ya infantria miaka kabla tu ya Vita ya Kagera, matukio ya miaka ya karibuni yanatutia wasiwasi sana na hili jeshi letu la Polisi. Malamiko madogo madogo ya utesaji, ubambikaji kesi, hata wizi na rushwa yalianza kuwa malamiko ya...
Tukiwa JKT kwa mujibu wa sheria tulifundishwa mambo mengi yakiwemo Uvumilivu, Nidhamu na Utii.
Ukiwa jeshini unatakiwa utumikie nafasi uliyopo kwa weledi na uzalendo uliotukuka na kuwatii Viongozi wako pamoja na kuwaheshimu walio chini yako.
Jeshini hutakiwi kutamani nafasi ya mtu bali juhudi...
Wadau wametoa maoni yao juu ya kauli ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera (RPC), Wankyo Nyigesa kumuomba Rais Samia Suluhu Hassan kumteuwa kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania haliyakuwa (IGP) Simon Sirro bado anaihudumia nafasi hiyo.
Baadhi wamesema siyo jambo baya kwa mtu kutamani cheo fulani...
Taarifa zilizopo ni kwamba RPC KAGERA ambaye ametoka Pwani na kupelekwa mkoa Kagera ndugu Wankyo nadhani kauli ya jana ya kuhitaji ukuu wa Jeshi la Polisi imemuungiza matatani hii imeonesha hana nidhamu ya hali ya juu ndani ya jeshi hivyo basi staff officer aliyepo mkoa wa Rukwa ameteuliwa kuwa...
Leo imefanyika hafla ya kumuaga aliyekuwa RPC mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa na kumkaribisha RPC Mpya wa Pwani Pius Lutumo. Wankyo Nyigesa sasa ni RPC wa mkoa wa Kagera ambae amesema anajiandaa kuwa IGP na anaamini maombi yake Amiri Jeshi mkuu ameyasikia. Amedai alijiandaa kuwa DCI na kamishna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.