Nimeona clip, mkuu wa wilaya wa Ubungo anavyoangaika na vitu vya ovyo utafikiri wilaya yake ya Ubungo wananchi wake wanatatuliwa na matatizo lukuki zinazowakabili. Niliwahi kwenda sehemu moja inaitwa Kisopwa kupitia barabara ya Kifuru kwenda hadi Vibula aisee barabara ni mbovu sana unaweza sema...