Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amewataka Wanawake nchini kuendelea kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali za Uongozi katika Maeneo yao kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu mwakani 2025.
Akizungumza katika Semina ya mafunzo kwa...