Ijalishi ni msikitini, kanisani, kwa profesa janabi, serikalini, kazini, mitaani na n.k
Ila wanywa pombe ni watu ambao wanaumoja kwenye mambo yao kuliko hawa wasiotumia.
Leo jioni mtu anajigamba kuninunulia kahawa elfu moja yani ilivyo chungu halafu hakuna la maana kazi kusema watu na...
Mkumbuke kuwa tuna stress za kumwaga. Tunarogwa kila kona.Kazini, nyumbani na hata majiani.
Sasa mtu akinywa pombe jana alafu asubuhi akanywa maji unyunyu ukatema. Sasa hapo ni kosa? Maana hajalewa ila unyunyu unatema.
Mnafoka hovyo kama vile sisi ni watoto wenu.
Tunawastahi tu kutafuna Big G...
Profesa Janabi kwenye uzinduzi wa Professor Jay Foundation ametaja dalili za mtu ambaye tayari anaugonjwa wa figo.
"Ukiwa na hizi dalili sio za mwanzo tena, tayari wewe umeingia kwenye ugonjwa wa Figo
Katika kutaja dalili hizo, salamu hizo amelekeza kwa wale Wazee wa bapa, k-vant...
Mimi sinywi pombe kabisa lakini kwa experience niliyo nayo wanaume wengi ambao wanakunywa pombe wana roho nzuri kuliko sisi wanywa soda
Ninao ndugu na marafiki wanywaji na wasio kunywa Frank speaking walevi wana roho nzuri wengi sio wanafiki wana roho za kusaidia hapa nadhani na wala mjani ni...
Naomba kuwauliza walevi na wanywa pombe, hizi hii pombe aina ya Hennessy ina vitu gani special ama vya kipekee?
Maana kila matangazo ya night clubs, bar na lounges zetu hapa Tanzania mitandaoni naona ni Hennessy tuuuu, sioni vinywaji kama Kvant, Konyagi ama viroba.
Kwa kua mimi sio mnywa...
Connection nyingi za kazi mara nyingi utazikuta Bar.
Ukiwasikiliza walevi mazungumzo yao huwa ni ya maendeleo tu kama ujenzi, harusi, miradi mbalimbali n.k
Kazi yangu ya mwisho (temporary) nimeipatia Bar baada ya kuhangaika for 4 yrs.
Na kazi inayofuata (naiombea iwe) imepatikania kwa kuwa...
Habari ya leo wakuu.
Binafsi kwa bahati mbaya sijaanza kuunga juhudi za kunywa pombe.
Lakini huwa napenda sana kwenda maeneo ya BAR, PUB NA HOTEL.
Nikifika maeno haya huwa naagiza soda nyama choma na maji nikimaliza basi mdogo msogo najikunyata nasepa home.
Lakini huwa naona ni tofauti na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.