Naomba kuwauliza walevi na wanywa pombe, hizi hii pombe aina ya Hennessy ina vitu gani special ama vya kipekee?
Maana kila matangazo ya night clubs, bar na lounges zetu hapa Tanzania mitandaoni naona ni Hennessy tuuuu, sioni vinywaji kama Kvant, Konyagi ama viroba.
Kwa kua mimi sio mnywa...