Muhimu: Wanywaji wanakunywa bila kuharibu ratiba za shughuli zao muhimu, ni tofauti na walevi.
Haimaanishi kwamba ni wote lakini kuna kundi kubwa si haba la wanywaji wa pombe wana maendeleo kwenye jamii kwa levels kama ngazi ya familia, ukoo, mtaa, ofisi, soko, n.k.
Ukienda pale kariakoo jamii...
Makusanyo ya mapato ya makampuni ya bia nchini yameshuka kwa karibu asilimia 20, hali inayoonekana kusababishwa na kupungua kwa wanywaji wa bia kufuatia ongezeko la ushuru wa bidhaa lililowekwa na serikali. Ongezeko hili la ushuru limewafanya wanywaji wengi kuhamia kwenye vinywaji mbadala...
Wanywa bia huu ushamba wa kumwaga bia chini ili kuangalia povu kisha kusema bia imeharibika au nzima nani aliwadanganya?
Huwa nawaona mnavyobishana na wahudumu kuhusu bia kama ni nzima kwa kumwaga na kuangalia povu natamani walinzi wawapige tanganyika jeki na kuwatupa nje.
Hasa wanaotumia pombe kupitiliza
Pombe inachangia kodi nyingi lakini pia tusisahau inasababisha gharama kubwa za matibabu.
Figo kufeli
mawe kwenye figo
homa ya ini
Presha / BP
Kibofu uti
n.k.
Haimaanishi kwamba wasio kunywa hawawezi kupata hayo magonjwa bali wanaokunywa kuna uwezekano mkubwa...
Leo ni mara ya nne nakunywa smart gin naona kama nakunywa maji harufu yake ipo Ila stimu zinachelewa.
Nakunywa kitu nahisi kabisa kimechanganywa na H20.
Sasa kutokana na Hiyo suspicion Leo kabla sijafungua kisungura ikabidi nikikague.
Kwanza kufungua kitu sikutumia nguvu nahisi ni Ile stika...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Ni kwanini vinywaji au pombe za kienyeji ambazo madhara yake ni madogo hazina wanywaji wengi ukilinganisha na pombe za kisasa?
Tena ukionekana unakunywa pombe za kienyeji unaonekana wewe ni mlala hoi,hoe hae na utadharaurika miongoni mwa watu kwenye...
Sisi wakaazi wa jiji la Dar es Salaam tupo tayari kukupokea na kukupa ushirikiano ndugu Chalamila.
Wana Dar es salaam tunaweza kuchangia mapato ya Serikali kwa kiulaini sana kupitia kupiga tungi a.k.a gambe. Unaonyesha utaiweza sana Dar es Salaam kwani wana Dar wengi wao ni wanachama wenzako na...
Jana katika pita pita nilimkuta jamaa mmoja anakunywa pombekali huku akiwa anaichanganyia kwenye maziwa fresh
Ilinishangaza na kunistaajabisha....
Nilipo muuliza akasema yeye hutumia maziwa kui dilute pombe kali pia kuondoa harufu...
Kwa mtu yeyote ambae ameshawai kukutana na hiki kitu anaweza...
Kama ni mnywaji wa hard liquor inabidi uwe makini sana.
Mimi nilishanunua jagger shopperz, nafika home nafungua tu, ikatoka kaharufu fulani not amazing.
Second chupa haina filter, nikarudi shoppers nikawaambia, huu mzigo feki, wahindi wakagoma goma. Nikawaambia filter ni lazima iwepo...
-Kutukana Matusi ovyo
-Ngono zembe - kufumaniwa kirahisi, magonjwa, n.k.
-Kuendesha gari bila umakini - ajali
-Hasira za haraka - kutembezewa kipigo, kujeruhi ama kuua.
-haja kubwa na ndogo bila kwenda chooni.
-kuzima - wahuni wanaweza kukusajili kwenye upinde bila kujijua
Kwa heshima kubwa. Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno.
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa...
Ripoti ya ‘Tanzania in figures 2021’ inayotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inaonyesha uzalishaji wa bia nchini umeshuka kutoka lita milioni 386 mwaka 2020, hadi lita milioni 380, ikiwa ni sawa na anguko la asilimia 1.5.
Kwa upande wa pombe aina ya konyagi nayo uzalishaji wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.