Wakuu,
Nimekusanya mahitaji yangu na kwend sehemu ya malipo na kufanya malipo kwa njia ya TIGOPESA MASTERCARDS.
Nikapokea msg ya kukatwa kwa malipo niliyofanya na nikawa najiandaa kuondoka na mzigo wangu nikapigwa stop,kwamba hawajapata malipo.
Nikaenda sehemu ya muhindi anayehusika...