wao

Yōka Wao (和央 ようか, Wao Yōka, born 15 February 1968) is a Japanese performing artist and a former member of the Takarazuka Revue, where she specialized in playing male characters (Otokoyaku). She joined the revue in 1988 and resigned in 2006.
Her nicknames are Takako (from her real name: Takako Ōkawa (大川 貴子 Ōkawa Takako) and Wao.
She is the only Otokoyaku to be top in her class as well as the last otokoyaku top star to have joined the company during the Shōwa era.
She was born and raised in Osaka (according to Takarazuka Graph 2003 April issue).

View More On Wikipedia.org
  1. Wanawake wamepindua meza ya mapenzi, kwa sasa wao ndio wanatawala mapenzi

    Shalom, Karibu kwenye anga za mapenzi Kucheza ni kuchezeshwa, kuchezewa, kuchezeshana. Patamu ni kuchezewa na meza kunduka wanawake wako juu kwa sasa. Zama hizi raha imepamba moto upande wa wanawake kwa sasa wanaume wamegeuzwa midori wanavurugwa na wanawake kwa kadri ipasavyo. Kwa wastani...
  2. R

    Utitiri wa vyama vya wafanyakazi chanzo cha kukosa umoja wao

    Kuelekea maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani,wafanyakazi nchini wako kwenye mjadala wa kikokotoo,bima ya afya,nyongeza ya mishahara,kupanda n.k. huku wakikosa umoja na mtetezi atakayesimama kuwasemea ili kufika pale wanapotaka. Kwa miaka kama tisa au kumi tangu utawala wa Rais...
  3. Familia za Kiafrika na uzao wa kustaajabisha

    Ila familia za Kiafrika ni noma sana, nina shemeji yangu ambae hajaanza shule. Wewe Je?
  4. Kiwewe kimezipata nchi za kiarabu. Huku Iran akiahidi kuanza na vituo vya nyulia vya Israel. Viongozi wao wapigiana simu kama watoto

    Wakati maelfu ya wapalestina wakiuliwa kama kuku,viongozi wa nchi za kiarabu walipiga kimya na kula biriani zao wakiona hayo hayawahusu. Hata diplomasia zao na kulaani kulikuwa kwa njia za kinafiki. Baada ya kumfanya Netanyahu ajiamini kupiga apendapo na kuamua kuipiga Iran na Iran nayo...
  5. Watambue Iranic People - Iranian People (Uwezo wao) - Siyo War

    Leo katika mwendelezo wa kuchambua na kuijua Iran kiundani zaidi ni muhimu kuwatambua hawa watu ni wa aina gani na asili yao ni wapi. Waajemi Neno waajemi ni neno la kiswahili lilitoholewa kutoka kwenye lugha ya kiaarabu al-'ajam ikiwa na maana ya watu wasioweza kuzungumza kiarabu neno la...
  6. G

    Kama Israel imeweza kushawishi mataifa makubwa Duniani kuwa upande wao naona wana akili kubwa sana

    Wakuu naona watu wengi wanalalamika Israel kusaidiwa na mataifa makubwa hivyo kwa upande wangu naona tofauti Kwanza ndege wanaofana wanaruka pamoja Kama tunavyoona nchi zenye race Fulani zinaweza kusaidiana Au nchi zenye mrengo wa dini Fulani zikisaidiana Pia matajiri kwa matajiri husaidiana...
  7. L

    Je, viongozi kama Mwigulu wanavyoanza kuwaandaa watoto wao kushika madaraka wanatamani uongozi wa kiimla?

    Dkt Mwigulu Nchemba hivi karibuni alifanya ziara yake Wilayani Iramba na karibia sehemu zaidi ya kumi mwanae Isaac Mwigulu Nchemba alipata nafasi ya kuhutubia. Sehemu zote hizo mwanae huyo alikuwa amevaa mavazi mazuri sana ya CCM yenye gharama kubwa. Hakuna sehemu aliyotembelea aliyoonekana...
  8. Kuna watu huwa wana enjoy zaidi ile hali ya wao kujulikana wameishiwa hela

    Kuna Wale Watu wa kujichanganya na watu wa namna zote wenye hela na wasio nazo, wanywa bia na wanywa gongo huwa wananifurahisha sana pale wanapopata hela yaani moyo hautulii mpaka hela iishe. Na kati ya maskini na matajiri nimejifunza wanaoongoza Kwa dharau ni maskini hawahawa wanywa gongo...
  9. S

    Beno Kakolanya atoroka kambini kuelekea Mechi na Yanga SC

    Kablu ya Singida Fountain Gate imesikitishwa na kitendo cha gilikipa wao Beno Kakolanya cha kutoroka kambini muda mchache kuelekea game yao dhidi ya Yanga. Singida wanakichukulia kitendo hicho kama ni hujma na wanafatilia kwa undani pamoja na wachezaji wengine wote wenye viashiria vya kuihujuma...
  10. B

    Mungu wa Lissu ni Mungu aliye hai, kumbe wanaotukana Serikali na Viongozi ni Wao wenyewe

    Kwa miaka mingi kumekuwa na jitihada za kuhadaa umma kwamba watu wanaotukana serikali na viongozi ni Wapinzani. Ukifatilia kwa umakini utaelewa kuwa wapinzani kazi yao imekuwa ni kukosoa, kushauri, kupendekeza na inapobidi kutekeleza na kutoa majibu ya Changa moto mbali mbali zinazoikabili Nchi...
  11. Wanyiha, ni watu wagumu sana mapenzini. Acha waoane wao kwa wao

    Tumugoje tumuleshe? Huo ndio msimbo wao, au password yao, ikiwa na maana "Tumuuwe au tumuache?" Hawa watu ni wagumu sana kwenye mahusiano, ni makatili sana na Wana roho ya ajabu kabisa. Mwanamke anaweza kukuacha ndani u taabani, kwa kuumwa, akaenda kanisani akarudi usiku kisha akapitilizia kulala
  12. Wanawake wanapenda kuwaita watoto wao 'Prince and Princess', ila hawataki kuwapa baba zao hadhi ya King!

    Habari ndo hiyo! Hadhi ya Princess na Prince inatumika kirahisi sana kuita watoto wao, ila ile 'treatment' ya kifalme kwa baba wa watoto hao ni nadra au haipo. Je, wanawake hawajui maana ya hadhi hiyo au ni mwendelezo ule ule wa ubaguzi tu?
  13. 𝗠𝗽𝗮𝗸𝗮 𝗗𝗣W 𝘄𝗮𝗻𝗮𝗰𝗵𝘂𝗸𝘂𝗮 𝘂𝗱𝗵𝗶𝗯𝗶𝘁𝗶 𝘄𝗮 𝗯𝗮𝗻𝗱𝗮𝗿𝗶 𝘇𝗲𝘁𝘂 𝗺𝗮𝗽𝗮𝘁𝗼 𝗻𝗶 𝘀𝗶𝗿𝗶 𝗸𝗮𝘁𝗶 𝘆𝗮 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗻𝗮 wao

    Tayari DP World wameshachukua udhibiti wa bandari ambayo ni urithi wetu kutoka kwa Mungu. 1. Mpaka sasa Rais hajaweka wazi Tanzania itapata Tsh. ngapi kwa mwezi kupitia mapato ya bandari ambayo kuanzia sasa yatakusanywa na DP World kama taarifa ya TPA niliyoambatanisha hapa inavyoeleza. 2...
  14. T

    Je, wajuwa Iran pamoja na vitisho vyote hawezi kuigusa Israel na kama akiwagusa huwo ndiyo mwisho wao

    Iko hivi ktk maswala ya kivita sio ukubwa wa nchi au wingi wa watu ulio nao ila niuwezo wa kivita pamoja na ujasusi. Ktk kile kilicho onekana sio kitu cha kawaida Israel walishambulia sehem ya ubalozi wa Iran ktk Nchi ya Syrian. Naomba niwakumbushe ni sehem ya ubalozi sio ubalozi wote na jinsi...
  15. G

    Wazungu wapewe maua yao na si lawama, Utumwa ulikuwepo Dunia nzima, Wao ndio walikuwa wa kwanza kuanzisha harakati za kuufuta

    Tunaanza na hapa kwetu Afrika, utumwa ulikuwepo hata kabla ya waarabu na wazungu kuja, hapo badae soko la watumwa wa kiafrika lilikuwa kubwa na kutufanya sisi kwa sisi waafrika tuanze kuuzana kwa wageni, hivyo nasi tulishiriki kwa kiasi kikubwa sana kwenye utumwa Warabu walikuwa na watumwa na...
  16. Kampuni imebuni namna ya kutumia teknolojia ya AI kama njia ya “kufufua” wafu na kuwaunganisha na wapendwa wao walio hai

    Kampuni hiyo kutoka China imekuwa ikitumia teknolojia inayoiga akili ya binadamu (AI technology) kubuni nafsi ya kidijitali ya aliyefariki na kuwezesha jamaa zake kuwasiliana naye jinsi ilivyokuwa kabla ya kufa kwake. Teknolojia hiyo imesifiwa na wengi kwa kuwa inawapa waliofiwa faraja ya muda...
  17. Kutokana na mabadiliko ya kiutawala Arusha, serikali ikae makini ili jamaa asisababishe wazungu wakatoa travel advisory kwa raia wao

    Mkoa wa Arusha ni mkoa wa kitalii, unapokea maelfu ya watalii kutoka Ulaya na Marekani. Ni vyema basi, kutokana na mabadiliko ya kiutawala, na watalii huwa hawapendi rabsha, wamekuja kupumzika na kula raha, Dodoma(makao makuu) jicho lao liwe Arusha. Hata vyombo vya dola Arusha vikipewa amri na...
  18. Wahuni wa CCM wana nguvu kuliko nguvu ya umma? Mbona kama wao ndio wanaamua mustakari wetu?

    Ziara za makonda alipokuwa bado ni mwenezi wa CCM ziliibua mambo mengi. Kero na uonevu wa kila namna. Ambao kimsingi ni aibu kwa serikali tawala ya rais Samia. Rais Samia mwenyewe akatoa tamko kuwa sababu kuna uonevu na madudu mengi dhidi ya Wanannchi basi atakuwa akisikikiza kero za kila...
  19. S

    Mechi ya marudiano Afrika Kusini, Mamelodi wataendelea kupigiana pasi na golikipa wao?

    Baada ya Yanga kufanikiwa kudhibiti mbinu ya Mamelodi ya defenders wao muda mwingi kucheza na kipa wao ili kuwavuta Yanga, Mamelo wataendelea na mbinu hii katika mechi ya marudiano huko Pretoria, Afrika Kusini? Wakibadili mtindo wa uchezaji wao waliouzoea, faida itakuwa kwao au kwa Yanga...
  20. Matrafiki wana roho mtakatifu wao

    Kwanza hujazana kwa wingi Kituoni iwe Mwenge Tazara,Mwananchi Relini Tabata Baracuda,Segerea,Temeke,Mtoni Madafu Chanika,Mbande na kwingineko ambako ni rahisi kusimamisha daladala Na wanakuwa wengi kuliko daladala. Roho mtakatifu wao kawapa ufunuo wa kujua jina la dereva na konda, kuliko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…