Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano?
KUna ndugu yangu alisema kataa kabisa urafiki na askari polisi. Naunga mkono hoja.
Mimi nasisititiza kama kichwa cha habari kinavyosema, tengeneza urafiki na askari wa mabakabaka, hawa watu wapo very humble, wana upendo na heshima katika jamii, japo...