Nawashauri TLS kumshauri Rais wao Mwabukusi kujiepusha na siasa chafu za chadema.
Kweli katiba inamruhusu kushabikia Upande anaotaka lkn yeye kama kiongozi wa mawakili nchini na anaeongoza Taasisi alioita pinzani kwa ccm ni vizuri kukaa kimya katika kipindi hichi, kuegemea kwa LISSU huku...